30 kuhani atachunguza kidonda hicho.+ Akiona kwamba kimepenya chini ya ngozi na nywele za sehemu hiyo ni za manjano na ni chache, kuhani atatangaza kwamba mtu huyo si safi; ni ugonjwa unaoathiri ngozi ya kichwa au kidevu. Ni ukoma wa kichwa au wa kidevu.