24 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mwanambuzi huyo na kumchinjia mahali ambapo dhabihu za kuteketezwa huchinjwa mbele za Yehova.+ Hiyo ni dhabihu ya dhambi.
26 Naye atayateketeza mafuta yake yote kwenye madhabahu ili yafuke moshi kama yale mafuta ya dhabihu ya ushirika;+ naye kuhani atatoa dhabihu ya kufunika dhambi ya mtu huyo, naye atasamehewa.