-
Hesabu 15:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Wale waliomkuta akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni na Waisraeli wote.
-
-
Hesabu 15:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Basi Waisraeli wote wakamtoa nje ya kambi, wakampiga mawe na kumuua, kama Yehova alivyomwamuru Musa.
-