Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 27:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Katika mwaka wa Mwadhimisho wa Miaka 50, shamba litarudishwa kwa yule aliyeliuza, kwa mtu ambaye shamba hilo ni mali yake.+

  • Hesabu 36:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Waisraeli wanapofanya Mwadhimisho wa Miaka 50,+ urithi wa wanawake hao utaongezwa kwenye urithi wa kabila walimoolewa, na hivyo urithi wao utaondolewa kutoka katika urithi wa kabila la baba zetu.”

  • Kumbukumbu la Torati 15:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Mwishoni mwa kila miaka saba mnapaswa kufuta madeni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki