-
Mambo ya Walawi 25:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Hampaswi kuvuna nafaka yoyote inayoota yenyewe baada ya mavuno, nanyi hampaswi kuchuma zabibu kutoka kwenye mizabibu yenu ambayo haijapunguzwa matawi. Ni lazima nchi iwe na mwaka wa pumziko kamili.
-