-
Kutoka 23:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Lakini mwaka wa saba hutalilima, utaliacha lipumzike, nao maskini walio miongoni mwa watu wako watapata chakula humo, na watakachoacha kitaliwa na wanyama wa mwituni. Hivyo ndivyo utakavyolifanyia shamba lako la mizabibu na shamba lako la mizeituni.
-
-
Mambo ya Walawi 25:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Hata hivyo, mnaweza kula mazao yanayoota nchini mwaka huo wa sabato, yaani, mtayala ninyi wenyewe, na pia watumwa wenu wa kike na wa kiume, vibarua wenu, wageni wanaoishi nanyi,
-