Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 25:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Mtanijengea mahali patakatifu, nami nitakaa* miongoni mwenu.+

  • Ezekieli 37:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “‘“Nami nitafanya agano la amani pamoja nao;+ litakuwa agano la milele pamoja nao. Nitawaimarisha na kuwafanya wawe wengi+ na kupaweka mahali pangu patakatifu miongoni mwao milele.

  • Ufunuo 21:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Ndipo nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha ufalme ikisema: “Tazama! Hema la Mungu liko pamoja na wanadamu, naye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Na Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki