Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 4:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kuhani atachukua kwa kidole chake kiasi kidogo cha damu ya dhabihu ya dhambi na kuitia kwenye pembe+ za madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa, naye atamwaga damu inayobaki kwenye msingi wa madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa.+

  • Mambo ya Walawi 16:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Kisha atatoka nje na kwenda kwenye madhabahu+ iliyo mbele za Yehova, naye atatoa dhabihu ya kufunika dhambi kwa ajili ya madhabahu hiyo, kisha atachukua kiasi fulani cha damu ya yule ng’ombe dume na kiasi fulani cha damu ya yule mbuzi na kupaka pembe za madhabahu pande zote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki