Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Yehova atawapiga kwa kifua kikuu, homa kali,+ mwasho, joto la homa, upanga,+ upepo unaochoma, na kuvu;+ navyo vitawaandama mpaka mtakapoangamia.

  • Kumbukumbu la Torati 28:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Mavuno ya ardhi yako na mazao yako yote yataliwa na watu usiowajua,+ na sikuzote watu watawalaghai na kuwakandamiza.

  • Waamuzi 6:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Waisraeli walipopanda mbegu, Wamidiani, Waamaleki,+ na watu wa Mashariki+ waliwashambulia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki