-
1 Wafalme 18:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na watupatie ng’ombe dume wachanga wawili, kisha wachague ng’ombe dume mmoja mchanga na kumkata vipandevipande na kuviweka juu ya kuni, lakini wasiwashe moto. Nitamtayarisha ng’ombe dume mchanga wa pili na kumweka juu ya kuni, lakini sitawasha moto.
-