Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 21:2-4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo akamwona mjane mmoja maskini akitumbukiza sarafu mbili ndogo zenye thamani ndogo sana,*+ 3 naye akasema: “Kwa kweli ninawaambia, mjane huyu maskini ametumbukiza zaidi ya wote.+ 4 Kwa maana wote hao walitumbukiza zawadi kutokana na ziada yao, lakini mwanamke huyu ingawa ni maskini* alitumbukiza riziki yake yote.”+

  • 2 Wakorintho 8:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa maana ikiwa utayari upo kwanza, hukubalika zaidi kulingana na kile ambacho mtu anacho,+ si kulingana na kile ambacho mtu hana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki