Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 20:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “Haruni atakufa na kuzikwa kama watu wake walivyozikwa.*+ Hataingia katika nchi nitakayowapa Waisraeli, kwa sababu ninyi wawili mliasi agizo nililowapa kuhusu maji ya Meriba.+

  • Hesabu 20:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha Musa akamvua Haruni mavazi yake na kumvisha Eleazari mwanawe. Baada ya hayo, Haruni akafa juu ya mlima huo.+ Kisha Musa na Eleazari wakateremka kutoka mlimani.

  • Hesabu 33:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Kisha kuhani Haruni akapanda juu ya Mlima Hori kwa agizo la Yehova, akafa huko siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa 40 tangu Waisraeli walipotoka nchini Misri.+

  • Kumbukumbu la Torati 10:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Kisha Waisraeli wakaondoka Beerothi Bene-yaakani na kwenda Mosera. Haruni akafa na kuzikwa huko,+ na Eleazari mwana wake akaanza kutumikia akiwa kuhani baada yake.+

  • Kumbukumbu la Torati 32:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Kisha utakufa juu ya mlima utakaopanda hivi punde, na kuzikwa pamoja na watu wako,* kama Haruni ndugu yako alivyokufa juu ya Mlima Hori+ na kuzikwa pamoja na watu wake,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki