Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 28:20-22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kisha Yakobo akaweka nadhiri hii: “Ikiwa Mungu ataendelea kuwa pamoja nami na kunilinda katika safari yangu na kunipa mkate wa kula na mavazi ya kuvaa 21 nami nirudi kwa amani katika nyumba ya baba yangu, kwa hakika Yehova atakuwa amethibitika kuwa Mungu wangu. 22 Na jiwe hili ambalo nimelisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu,+ nami sitakosa kukupa sehemu ya kumi ya vitu vyote utakavyonipa.”

  • Waamuzi 11:30, 31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Ndipo Yeftha akaweka nadhiri+ kwa Yehova akisema, “Ukiwatia Waamoni mikononi mwangu, 31 yeyote atakayetoka nje ya mlango wa nyumba yangu ili kunipokea nitakaporudi baada ya kuwashinda Waamoni atakuwa wa Yehova,+ nami nitamtoa kama dhabihu ya kuteketezwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki