31 “Nitaweka mpaka wenu kuanzia Bahari Nyekundu mpaka bahari ya Wafilisti na kuanzia nyikani mpaka kwenye Mto Efrati;+ kwa maana nitawatia wakaaji wa nchi hiyo mikononi mwenu, nanyi mtawafukuza kutoka mbele yenu.+
15Nchi ambayo watu wa kabila la Yuda waligawiwa*+ kwa ajili ya koo zao ilifika kwenye mpaka wa Edomu,+ nyika ya Zini, hadi upande wa kusini kabisa wa Negebu.