Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Sheria ileile itafuatwa na mwenyeji na mgeni anayeishi miongoni mwenu.”+

  • Mambo ya Walawi 19:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Mgeni anayeishi pamoja nanyi mtamwona kama mwenyeji;+ nanyi lazima mumpende kama mnavyojipenda wenyewe, kwa maana mlikuwa wageni nchini Misri.+ Mimi ni Yehova Mungu wenu.

  • Hesabu 15:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Ninyi na mgeni anayeishi miongoni mwenu mtafuata sheria zilezile na amri zilezile.’”*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki