-
Kutoka 27:10, 11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ua huo utakuwa na nguzo 20 na vikalio 20 vya shaba. Kulabu za nguzo hizo pamoja na vitanzi* vyake vitakuwa vya fedha. 11 Mapazia yanayoning’inia upande wa kaskazini yatakuwa pia na urefu wa mikono 100, pamoja na nguzo zake 20 na vikalio vyake 20 vya shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi* vyake vitakuwa vya fedha.
-