-
Hesabu 3:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Wanaume wote Walawi wenye umri wa kuanzia mwezi mmoja na zaidi walioandikishwa na Musa na Haruni kulingana na familia zao, kama Yehova alivyoagiza, walikuwa 22,000.
-
-
Hesabu 3:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume walioandikishwa kwa majina kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi walikuwa 22,273.
-