Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Ndipo katikati ya usiku, Yehova akamuua kila mzaliwa wa kwanza nchini Misri,+ kuanzia mzaliwa wa kwanza wa Farao aliyeketi kwenye kiti chake cha ufalme mpaka mzaliwa wa kwanza wa mateka aliyekuwa gerezani,* na kila mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+

  • Kutoka 13:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Farao alipokataa kwa ukaidi kuturuhusu tuondoke,+ Yehova alimuua kila mzaliwa wa kwanza nchini Misri, kuanzia mzaliwa wa kwanza wa mwanadamu mpaka mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+ Ndiyo sababu ninamtolea Yehova wazaliwa wote wa kwanza wa kiume* kuwa dhabihu, na kumkomboa kila mzaliwa wa kwanza kati ya wanangu.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki