Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 1:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Wakawakusanya Waisraeli wote siku ya kwanza ya mwezi wa pili, ili kila mwanamume mwenye umri wa kuanzia miaka 20 na zaidi aandikishwe kulingana na jina lake, familia yake, na ukoo wake,*+

  • Kumbukumbu la Torati 29:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Leo ninyi nyote mmesimama mbele za Yehova Mungu wenu; viongozi wa makabila yenu, wazee wenu, maofisa wenu, kila mwanamume wa Israeli, 11 watoto wenu, wake zenu,+ na mkaaji mgeni+ anayeishi kambini mwenu, kuanzia mtu anayewakusanyia kuni mpaka anayewatekea maji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki