Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 19:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo Yezebeli akamtuma mjumbe kwa Eliya, akisema: “Miungu na iniadhibu, tena vikali, ikiwa kufikia kesho wakati kama huu sitakufanya uwe kama* kila mmoja wa manabii hao!”

  • 1 Wafalme 19:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Akaingia nyikani safari ya siku moja, akafika na kuketi chini ya mti wa mretemu, naye akaomba afe. Akasema: “Imetosha! Sasa, Ee Yehova, niue,*+ kwa sababu mimi si bora kuliko mababu zangu.”

  • Ayubu 6:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Laiti ombi langu lingejibiwa

      Na laiti Mungu angenipa ninachotamani!

       9 Kwamba Mungu angekuwa tayari kunipondaponda,

      Na kwamba angeunyoosha mkono wake na kuniangamiza!+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki