-
Kutoka 18:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Musa akachagua wanaume wanaostahili miongoni mwa Waisraeli wote na kuwaweka kuwa viongozi wa watu, kuwa wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, na wakuu wa makumi.
-
-
Yoshua 22:13, 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha Waisraeli wakamtuma Finehasi+ mwana wa kuhani Eleazari kwa watu wa kabila la Rubeni, Gadi, na nusu ya kabila la Manase katika nchi ya Gileadi, 14 na wakuu kumi walikuwa pamoja naye, mkuu mmoja kwa ajili ya kila ukoo* katika makabila yote ya Israeli, kila mmoja wao alikuwa kiongozi wa ukoo wake* miongoni mwa maelfu ya* Israeli.+
-