-
Kumbukumbu la Torati 1:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Mliendelea kunung’unika katika mahema yenu na kusema, ‘Yehova alituchukia ndiyo sababu alitutoa katika nchi ya Misri ili atutie mikononi mwa Waamori watuangamize.
-