Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 3:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Utawakabidhi Walawi kwa Haruni na wanawe. Ni watu waliokabidhiwa, ambao Haruni amekabidhiwa kutoka kati ya Waisraeli.+

  • Hesabu 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Tazama! Mimi nawachukua Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli badala ya wazaliwa wote wa kwanza* wa Waisraeli;+ Walawi watakuwa wangu.

  • Hesabu 8:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kisha Walawi wataingia ndani ya hema la mkutano ili kutumikia. Hivyo ndivyo unavyopaswa kuwatakasa na kuwatoa* kama toleo la kutikiswa. 16 Kwa maana wao ni watu waliokabidhiwa, niliokabidhiwa kutoka miongoni mwa Waisraeli. Nitawachukua hao kwa ajili yangu badala ya wazaliwa wote wa kwanza* wa Waisraeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki