Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 22:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Hampaswi kutoa kitu chochote chenye kasoro,+ kwa sababu hamtapata kibali mkifanya hivyo.

  • Malaki 1:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Amelaaniwa mtu mjanja aliye na mnyama asiye na kasoro katika kundi lake, lakini anaapa na kumtolea Yehova dhabihu ya mnyama mwenye kasoro.* Kwa maana mimi ni Mfalme mkuu,”+ asema Yehova wa majeshi, “na jina langu litakuwa lenye kuogopesha miongoni mwa mataifa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki