Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:31, 32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Viumbe hao wanaotambaa si safi kwenu.+ Kila mtu anayegusa mizoga yao hatakuwa safi mpaka jioni.+

      32 “‘Viumbe hao wakifa na kuangukia kitu chochote, kitu hicho hakitakuwa safi, iwe ni chombo cha mbao, nguo, ngozi, au gunia. Chombo chochote kinachotumiwa kinapaswa kutumbukizwa majini, nacho hakitakuwa safi mpaka jioni; baada ya hapo kitakuwa safi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki