-
Mwanzo 13:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Yehova akamwambia hivi Abramu baada ya Loti kujitenga naye: “Tafadhali, inua macho yako, na kutoka mahali ulipo tazama kaskazini na kusini, mashariki na magharibi,
-