Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 23:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Halafu Balaamu akamwambia Balaki: “Kaa hapa karibu na dhabihu yako ya kuteketezwa, nami nitaenda. Labda Yehova atawasiliana nami. Jambo lolote atakalonifunulia, nitakwambia.” Basi akaenda juu ya kilima kilicho wazi.

  • Hesabu 23:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kisha Balaamu akamwambia Balaki: “Kaa hapa karibu na dhabihu yako ya kuteketezwa ninapoenda pale kuwasiliana Naye.”

  • Hesabu 23:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kwa maana hakuna ishara za msiba dhidi ya Yakobo,+

      Wala hakuna uaguzi* wowote dhidi ya Israeli.+

      Sasa inaweza kusemwa hivi kumhusu Yakobo na Israeli:

      ‘Tazameni mambo ambayo Mungu ametenda!’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki