-
1 Samweli 19:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Mara moja Sauli akawatuma wajumbe wamkamate Daudi. Walipowaona manabii waliozeeka wakitoa unabii na Samweli akiwa amesimama na kuwaongoza, roho ya Mungu ikawajia wajumbe wa Sauli, nao pia wakaanza kutenda kama manabii.
-