1 Mambo ya Nyakati 7:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Na wana wa Tola walikuwa Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu, na Shemueli, viongozi wa koo* zao. Wazao wa Tola walikuwa mashujaa hodari, na idadi yao katika siku za Daudi ilikuwa 22,600.
2 Na wana wa Tola walikuwa Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu, na Shemueli, viongozi wa koo* zao. Wazao wa Tola walikuwa mashujaa hodari, na idadi yao katika siku za Daudi ilikuwa 22,600.