-
Kumbukumbu la Torati 1:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Nanyi mliona nyikani jinsi Yehova Mungu wenu alivyowabeba kama baba anavyombeba mwana wake, aliwabeba kila mahali mlipoenda mpaka mlipofika mahali hapa.’
-