Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 13:24-28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Pia, Musa akawapa urithi watu wa kabila la Gadi, kulingana na koo zao, 25 na eneo lao lilitia ndani Yazeri+ na majiji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Waamoni+ hadi Aroeri, mbele ya Raba;+ 26 na kutoka Heshboni+ hadi Ramath-mispe na Betonimu, na kutoka Mahanaimu+ hadi mpaka wa Debiri; 27 na bondeni,* Beth-haramu, Beth-nimra,+ Sukothi,+ na Safoni, eneo lililobaki la Mfalme Sihoni wa Heshboni,+ na Mto Yordani ulikuwa mpaka ulioanzia upande wa chini wa Bahari ya Kinerethi,*+ upande wa mashariki wa Yordani. 28 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Gadi kulingana na koo zao, pamoja na miji na vijiji vyake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki