Kutoka 18:17, 18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Baba mkwe wa Musa akamwambia: “Jambo unalofanya si zuri. 18 Kwa hakika utachoka, wewe na watu hawa walio pamoja nawe, kwa sababu mzigo huu ni mkubwa sana kwako na huwezi kuubeba peke yako.
17 Baba mkwe wa Musa akamwambia: “Jambo unalofanya si zuri. 18 Kwa hakika utachoka, wewe na watu hawa walio pamoja nawe, kwa sababu mzigo huu ni mkubwa sana kwako na huwezi kuubeba peke yako.