Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 9:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Yehova Mungu wenu atakapowafukuza kutoka mbele yenu, msiseme hivi mioyoni mwenu: ‘Yehova amenileta ili nimiliki nchi hii kwa sababu ya uadilifu wangu mwenyewe.’+ Badala yake, Yehova anayafukuza mataifa hayo+ kutoka mbele yenu kwa sababu ya uovu wao.

  • Kumbukumbu la Torati 32:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Yeshuruni* aliponenepa, alipiga teke kwa uasi.

      Umenenepa, una mafuta mengi mwilini, tumbo lako limenenepa.+

      Basi akamwacha Mungu, aliyemuumba,+

      Na kumdharau Mwamba wa wokovu wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki