Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 17:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 “‘“Mwisraeli yeyote akimchinja ng’ombe dume au mwanakondoo dume au mbuzi ndani au nje ya kambi, 4 na kukosa kumleta kwenye mlango wa hema la mkutano ili kumtolea Yehova dhabihu mbele ya hema la Yehova la ibada, mtu huyo atakuwa na hatia ya damu. Ameua,* naye ni lazima auawe.

  • 1 Wafalme 12:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Baada ya kushauriana, mfalme akatengeneza ndama wawili wa dhahabu+ na kuwaambia watu: “Inachosha sana kwenu kupanda kwenda Yerusalemu. Ndiye huyu hapa Mungu wenu, enyi Waisraeli, aliyewatoa nchini Misri.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki