-
Mambo ya Walawi 11:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 “‘Kati ya viumbe wote wanaoishi ndani ya maji, mnaweza kula wafuatao: Mnaweza kumla kiumbe yeyote wa majini mwenye mapezi na magamba anayeishi baharini au mtoni.+ 10 Lakini kiumbe yeyote anayeishi baharini na mtoni ambaye hana mapezi na magamba, kati ya viumbe wote wa majini wanaoishi katika makundi makubwa na viumbe wengine wote wanaoishi majini, ni chukizo kwenu.
-