Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 13:12-15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Ikiwa mtasikia ikisemwa hivi katika mojawapo ya majiji yenu ambayo Yehova Mungu wenu anawapa mkae humo: 13 ‘Watu wasiofaa kitu wametokea miongoni mwenu ili kuwapotosha wakaaji wa jiji lao, wakisema, “Twendeni tukaabudu miungu mingine,” miungu ambayo hamwijui,’ 14 mnapaswa kupeleleza jambo hilo, kufanya uchunguzi kamili na kuuliza kwa makini;+ na ikithibitishwa ni kweli kwamba jambo hilo lenye kuchukiza limefanywa miongoni mwenu, 15 ni lazima muwaangamize kwa upanga wakaaji wa jiji hilo.+ Mtawaangamiza+ kwa upanga watu wa jiji hilo pamoja na kila kitu kilichomo, kutia ndani mifugo yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki