Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 13:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Ikiwa ndugu yako, mwana wa mama yako, au mwana wako au binti yako au mke wako mpendwa au rafiki yako wa karibu sana* atajaribu kukushawishi kwa siri, akisema, ‘Twende tukaabudu miungu mingine,’+ miungu ambayo wewe wala mababu zako hamwijui,

  • Kumbukumbu la Torati 13:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nawe lazima umuue kwa kumpiga mawe,+ kwa sababu alijaribu kukugeuza umwache Yehova Mungu wako, aliyekutoa nchini Misri, kutoka katika nyumba ya utumwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki