Mwanzo 14:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Kwa hiyo katika mwaka wa 14, Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye wakaja na kuwashinda Warefaimu waliokuwa Ashteroth-karnaimu, Wazuzi waliokuwa Hamu, Waemi+ waliokuwa Shave-kiriathaimu,
5 Kwa hiyo katika mwaka wa 14, Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye wakaja na kuwashinda Warefaimu waliokuwa Ashteroth-karnaimu, Wazuzi waliokuwa Hamu, Waemi+ waliokuwa Shave-kiriathaimu,