-
Isaya 26:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa maana tazama! Yehova anakuja kutoka mahali pake
Ili kuwaita wakaaji wa nchi wawajibike kwa sababu ya uovu wao,
Na nchi itafunua umwagaji wake wa damu
Nayo haitawafunika tena watu wake waliouawa.”
-
-
Yeremia 26:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Ila tu mjue kwa hakika kwamba mkiniua, mtajiletea damu isiyo na hatia juu yenu na juu ya jiji hili na juu ya wakaaji wake, kwa maana kwa kweli Yehova alinituma kwenu ili niseme maneno haya mkiyasikia.”
-