Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 4:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende zetu shambani.” Basi walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+

  • Hesabu 35:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Ikiwa mtu anayemchukia mwenzake anamsukuma au kumtupia kitu fulani kwa nia mbaya* na kumuua,+ 21 au kwa sababu ya chuki anampiga kwa mkono na kumuua, ni lazima mtu huyo aliyempiga auawe. Yeye ni muuaji. Mtu anayelipiza kisasi cha damu atamuua muuaji huyo atakapokutana naye.

  • Yakobo 2:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa maana yule aliyesema, “Usifanye uzinzi,”+ alisema pia: “Usiue.”+ Basi, ikiwa hufanyi uzinzi lakini unaua, umeivunja sheria.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki