Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 21:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Mtu yeyote mwenye kasoro hapaswi kukaribia mahali patakatifu: mtu aliye kipofu au mlemavu au mwenye majeraha usoni* au mwenye kiungo kimoja kirefu zaidi,

  • Mambo ya Walawi 21:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 au kibyongo au mbilikimo,* au mtu mwenye jicho lililo na kasoro au mwenye ukurutu wa ngozi au mba au mwenye mapumbu yaliyoharibika.+

  • Isaya 56:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kwa maana mimi Yehova ninawaambia hivi matowashi wanaozishika sabato zangu na kuchagua mambo yanayonipendeza na kulishika kabisa agano langu:

       5 “Nitawapa mnara wa ukumbusho na jina katika nyumba yangu na katika kuta zangu,

      Jambo bora kuliko wana na mabinti.

      Nitawapa jina linalodumu milele,

      Ambalo halitaangamia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki