Ayubu 24:9, 10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Mtoto asiye na baba hunyakuliwa kutoka kwenye matiti ya mama yake;+Na mavazi ya maskini huchukuliwa kuwa dhamana ya mkopo,+10 Na kuwalazimisha kutembea uchi, bila nguo,Wakiwa na njaa, huku wakibeba masuke ya nafaka.
9 Mtoto asiye na baba hunyakuliwa kutoka kwenye matiti ya mama yake;+Na mavazi ya maskini huchukuliwa kuwa dhamana ya mkopo,+10 Na kuwalazimisha kutembea uchi, bila nguo,Wakiwa na njaa, huku wakibeba masuke ya nafaka.