Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 22:26, 27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “Ukichukua nguo ya jirani yako kuwa dhamana ya mkopo,*+ unapaswa kumrudishia kabla ya jua kutua. 27 Kwa sababu hiyo ndiyo nguo pekee aliyo nayo ya kujifunika, nguo ya kufunika mwili wake,* atajifunikia nini anapolala?+ Akinililia, hakika nitasikia, kwa sababu mimi ni mwenye huruma.*+

  • Kumbukumbu la Torati 24:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Unapaswa kufanya yote uwezayo kumrudishia kitu alichokupa kuwa dhamana baada tu ya jua kutua, naye atakuwa na vazi lake anapoenda kulala,+ na atakubariki; nawe utakuwa mwadilifu mbele za Yehova Mungu wako.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki