Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 7:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Mnapaswa kuchoma moto sanamu za kuchongwa za miungu yao.+ Msitamani fedha na dhahabu ya sanamu hizo wala msiichukue,+ ili isiwe mtego kwenu, kwa maana ni chukizo kwa Yehova Mungu wenu.+

  • Kumbukumbu la Torati 29:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Nanyi mlikuwa mkiona vitu vyao vinavyochukiza na sanamu zao zenye kuchukiza*+ za miti na mawe, fedha na dhahabu, walizokuwa nazo.)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki