Kumbukumbu la Torati 19:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 “Mtakapopokea urithi wenu katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa mwimiliki, hampaswi kusogeza alama ya mpaka+ wa jirani yenu kutoka mahali ambapo uliwekwa na mababu zenu. Methali 23:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Usiisogeze alama ya kale ya mpaka+Wala kuingia katika shamba la mayatima.
14 “Mtakapopokea urithi wenu katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa mwimiliki, hampaswi kusogeza alama ya mpaka+ wa jirani yenu kutoka mahali ambapo uliwekwa na mababu zenu.