Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 32:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Hivyo Musa akawapa—wana wa Gadi, wana wa Rubeni,+ na nusu ya kabila la Manase+ mwana wa Yosefu—ufalme wa Sihoni+ mfalme wa Waamori na ufalme wa Ogu+ mfalme wa Bashani, maeneo hayo na majiji yaliyokuwemo na pia majiji jirani.

  • Kumbukumbu la Torati 3:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Wakati huo tulimiliki nchi hii: kuanzia Aroeri,+ karibu na Bonde* la Arnoni, na nusu ya eneo lenye milima la Gileadi, na majiji yake nimewapa watu wa kabila la Rubeni na kabila la Gadi.+ 13 Kisha nusu ya kabila la Manase+ nimewapa sehemu inayobaki ya Gileadi na eneo lote la Bashani la ufalme wa Ogu. Eneo lote la Argobu, la Bashani, lilijulikana kuwa nchi ya Warefaimu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki