Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 2:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Sasa, tafadhalini, niapieni kwa Yehova kwamba, kwa kuwa nimewatendea kwa upendo mshikamanifu, ninyi pia mtaitendea familia ya baba yangu kwa upendo mshikamanifu; nipeni ishara inayoaminika* kwamba mtatimiza ahadi yenu. 13 Nanyi hamtawaangamiza baba yangu na mama yangu, ndugu zangu na dada zangu, na watu wetu wote, mtatuokoa tusife.”*+

  • Yoshua 2:17-19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Wanaume hao wakasema: “Hatutakuwa na hatia kuhusiana na kiapo ulichotuapisha+ 18 isipokuwa, tutakapokuja katika nchi hii, utakuwa umefunga kamba hii nyekundu katika dirisha ambamo utatuteremshia. Wakusanye baba yako, mama yako, ndugu zako, na familia yote ya baba yako ndani ya nyumba hii.+ 19 Ikiwa mtu yeyote atatoka nje ya nyumba yako, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe, nasi hatutakuwa na hatia. Lakini mtu yeyote aliye ndani ya nyumba yako pamoja nawe akifa, damu yake itakuwa juu ya vichwa vyetu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki