Yoshua 7:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Nilipoona katika nyara vazi rasmi maridadi kutoka Shinari+ na shekeli 200 za fedha na kipande kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli 50,* nilivitamani, kwa hiyo nikavichukua. Nimevificha ardhini ndani ya hema langu, na fedha ziko chini yake.”
21 Nilipoona katika nyara vazi rasmi maridadi kutoka Shinari+ na shekeli 200 za fedha na kipande kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli 50,* nilivitamani, kwa hiyo nikavichukua. Nimevificha ardhini ndani ya hema langu, na fedha ziko chini yake.”