Kumbukumbu la Torati 2:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 “‘Ondokeni, mvuke Bonde* la Arnoni.+ Tazameni nimemtia mikononi mwenu Sihoni+ Mwamori, mfalme wa Heshboni. Basi anzeni kumiliki nchi yake, nanyi mpigane vita naye.
24 “‘Ondokeni, mvuke Bonde* la Arnoni.+ Tazameni nimemtia mikononi mwenu Sihoni+ Mwamori, mfalme wa Heshboni. Basi anzeni kumiliki nchi yake, nanyi mpigane vita naye.