-
Yoshua 11:1, 2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Mara tu Yabini mfalme wa Hasori aliposikia habari hizo, akatuma ujumbe kwa Yobabu mfalme wa Madoni,+ na kwa mfalme wa Shimroni, na mfalme wa Akshafi,+ 2 wafalme wa eneo la kaskazini lenye milima, wa maeneo tambarare* upande wa kusini wa Kinerethi, wale waliokuwa Shefela na kwenye miteremko ya Dori+ upande wa magharibi,
-